Banda letu la Wedding Bells limetengenezwa na kupambwa vizuriiiiii na Dada Monica.. aka Special occasions...
wapambaji wa kistaaraabu na keki tamu zaidi na za kistaarabu zaidi in Dar
baadhi ya kazi zao ni pamoja na Melissa and Harris Wedding- Keki na mapambo: Venue Moven Pick
Martha Nnko and Joseph Wedding
Gladys Wedding- cake
Gladys wedding ilipambwa na Sophy nitawawekea aina zake na mapambo yake soon...pia ni wedding planner
Stella and Eliud's Cake
Wanapatikana mjini NSSF building opposite CBE pia branch yao nyingine Kimweri Avenue Msasani kama unaelekea CCBRT
Wapigie Simu -Special Occassion's namba 0754 404 733
No comments:
Post a Comment